Tulia Baby Shak

Wilson Ouma Opondo

Unanifanya najihisi mtoto, bebi shak dududu bebi shak dududu. Anything you want ago dudu bebi ago dudu bebi ago dudu

Bila wee silali ata kwa piriton, moyo wangu chali nibebe nibebe. Na nisipokuona baby sipati amani, nisipokuona sweeti usingizi sipati.

Kwako nimesha tulia lia tulia, ukiniguza kidogo nalala lala lala, ukiniwacha baby nitalia lia lia. Sababu nishakupenda sana sana saaaana....

Na nikikuchiti nitakua mnafiki, hayo tabia ya ibirisi nitakua napritendi, haina maana niende kuingine wakati wewe wanitosheleza. Haina maana niende kuingine wakati wewe wanibembeleza.
Jamani umeniweza mpenzi, kila mara nakuwaza, jamani umeni roga mpenzi wee... mia kwa mia nakupenda.

Unanifanya najihisi mtoto, bebi shak dududu bebi shak dududu. Anything you want ago dudu bebi ago dudu bebi ago dudu

Bila wee silali ata kwa piriton, moyo wangu chali nibebe nibebe. Na nisipokuona baby sipati amani, nisipokuona sweeti usingizi sipati.

Kwako nimesha tulia lia tulia, ukiniguza kidogo nalala lala lala, ukiniwacha baby nitalia lia lia. Sababu nishakupenda sana sana saaaana....

Aaah....

Canzoni più popolari di Willy Paul

Altri artisti di Contemporary R&B