Nishikilie

WILSON PAUL OPONDO

ooh
Pozze

Oooh beiby, nimekupenda kwa ndani
Nikupeleke Mombasa kwa Joho
Tukakule na raha mama
Michezo ya zigizigi
Ya kiwiliwili mama
Utapenda cherie oooh
Nitapojikaza mmmh
Nikaribie nikweleze
Navyohisi moyoni mwangu baby
Baby ukinitouch
mi napigwa na butwaa
Tukigombana mi napatwa na huzuni
Ukiniacha mie, nitaumia moyoni
Njoo nikugawie, nikugurumishe
Oooh beiby
nikugawie, nikugurumishe
Ooh

Basi mie, nikumbatie nishikilie
Deka kifuani mwangu, nikumbatie nishikilie
Lala kifuani mwangu, nikumbatie nishikilie
Deka kifuani mwangu, nikumbatie nishikilie
Lala kifuani mwangu

Kama moyo ungekuwa kitabu, ningekupa usome
ooh Kama moyo ungekuwa kitabu, ningekupa usome
Basi unipe majigijigi nijigi jigi
Twende wote mama
Michezo ya zigizigi ya kiwiliwili
Twende wote mama

Ah leo nipe majigijigi nijigi jigi
Twende wote mama
Michezo ya zigizigi ya kiwiliwili
Twende wote mama

Basi mie, nikumbatie nishikilie
Deka kifuani mwangu, nikumbatie nishikilie
Lala kifuani mwangu, nikumbatie nishikilie
Deka kifuani mwangu, nikumbatie nishikilie ehh

Nisiulizwe madoido lolo
Ni mwendo ule ule eeh
Na jinsi navyopenda ulivyo
Ni mwendo ule ule eeh
Oooh my darling mwendo ni ule yeah yeah yeah
umenikosha roho
Ni mwendo madoido oooh

Mambo bado, my hunny ooh
My beiby my sweety potato
My hunny ooh, my hunny eeh
Ni mwendo madoido oooh

Maah aah, maneno ni ile ile eeh
My sweetie ooh, nikumbatie
Lala kifuani mwangu,oooh ooh ooh
Mwendo wa kinyonga, ooh ooh yeah oh baby

Ali ooh, Ali yoyo(yeah baba eeh)
Alright, eeyoo
Willy Pozee(Pozee)
Dimpoz pozi pozi(Pause kwa mapozi)

Nikumbatie
Unishikilie
Kifuani mwangu

Canzoni più popolari di Willy Paul

Altri artisti di Contemporary R&B