Kesho

Nakumbuka nikikuita unasonya
Wanipandisha ,Wanishusha
Nilikuwa Sina doh
Mtaani Nala dodo
Nilikuwa Sina Jambo
Iweje Leo nina Jambo

Mwana Kulifind
Mwangi kuliget oh..
Ndio waniita Mpenzi
Mwana kulifind
Mwana kuliget oh
Ndio waniita your Baby

Im Sorry nilipotaka uwe mke
Ulisema Sina doh so so sorry
Ata kabaiskeki kangu
Ulisema nisake doh doh

Do you know?
Ni kidonda aina gani
Uloniweka moyoni

Upendo unadhaminiwa
Upendo unadhaminiwa
Pale wakiwa nazo
Pale wakiwa nazo

Nilikuomba usubiri ata Kesho (eeeh eeeh )
Nilikuomba usibiri ata Kesho ,Na Kesho Sawa
Niliuomba usibiri ata Kesho , Na Kesho Sawa
Niliuomba usibiri ata Kesho , Na Kesho Sawa

Ulichoka na maisha ya tomato
Tomato tomato tomato chumvi ugali
Ulitaka maisha dubai
Na mi sikatai, bora ungenisubiri

Baby Ona Leo
Ninamiliki manyumba 30, pale lavii
It’s so sad siwezi share
Na niliye mpenda, kwa moyo wa dhati
My valentino, ungenitunzia moyo wako
Kuliko kunivunja moyo Ulivyonivunja mama

Ata kosa ilipo tokea
Nilishindwa kukasirika
Hata moyo ulipo nivunja
Nilishindwa kukasirika

Nilikuomba usibiri ata kesho (eeh eeh)
Nilikuomba usibiri ata kesho ,na kesho sawa
Nilikuomba usibiri ata kesho (eeh eeh)
Nilikuomba usibiri ata kesho ,na kesho sawa

Ulinitoroka sababu sikua na lolote
Kwa magoti niliomba usiniache my lover
Kesho yetu itakuwa sawa
Ulipigiwa simu, nilingojeka
Karibu nife mama , ukasema hunijui
Mi na we tulikuwa mistake

Don’t blame me
Don’t blame me (inauma but)
Nimepata mwingine
Don’t blame me
Don’t blame me (inauma but)
Nimepata mwingine


Nilikuomba usibiri ata Kesho (mama Subiri Kesho)
Nilikuomba usibiri ata Kesho (mama subiri Kesho)
Na Kesho Sawa
Nilikuomba usibiri Kesho (ooh mama subiri Kesho)
Na Kesho Sawa

Canzoni più popolari di Willy Paul

Altri artisti di Contemporary R&B