Nategea (feat. Sanaipei Tande)

Otieno Owuor

Mi sijui wee uliko, sijui wee ni nani
Lakini mi nishakuwaza, moyoni wewe upo nami
Na marafiki hawashiki, eti mi ni wazimu
Lakini mi nishakuhisi moyoni mchana na usiku tabibu
Manzi basi harakisha kiasi
Nakutegea wewe uwe Nami
Najitolea kungojea, mami
Toka moyoni, ingia duniani
Mpenzi nategea
Kama mvua, najua utatokea
Kama mvua
Mpenzi nategea
Kama mvua, najua utatokea
Kama mvua
Nishakuona, Nishakuona mama
Nitakuoa, nitakuoa mamaa
Mi sijui ni malipo ya zote zangu dhambi
Hakika haya ni mateso, mateso ya kinafsi
Subira heri mpatanisho tusiwe na ulafi
Mapenzi kwetu isikose thamani,
Mto wa jangwani jamani
Haya basi harakisha kiasi, nategea uwe nami
Nakungojea
Toka moyoni ingia duniani
Mpenzi nategea
Kama mvua, najua utatokea
Kama mvua
Mpenzi nategea
Kama mvua, najua utatokea
Kama mvua
Uuuh
Nishakuona, Nishakuona mamaa (Nishakuona babaa)
Nitakuoa, nitakuoa mamaa
Kama mvua yeah yeah yeah yeah
Kama mvua yeah yeah yeah
Kama mvua yeah yeah yeah yeah
Kama mvua yeah yeah yeah

Canzoni più popolari di Suba

Altri artisti di Downtempo