Kunjani

FAUSTINA CHARLES MFINANGA, MAYA CHRISTINAH WEGERIF, THABO LLOYD MOAGI

Yiii
Eeeh shiiii
Okay okay okay

Wananijuwa me ni number one
Control manonga zidane
Hit floor amuonekani
Sawubona man kujani

Aibo aii kidogo
Asubui kachai muogo
Aibo aii kidogo
Asubui kachai muogo

Sawubona man kunjani
Aibo aii kidogo
Sawubona man kunjani
Aibo aii kidogo

(T bway the flame)
Sawubona man kunjani (Aibo aii kidogo)
Sawubona man kunjani (Aibo aii kidogo)

Hello
Hello hujambo ndo nimeland hapa OR Tambo
Hello hujambo ndo nimeland hapa OR Tambo
Hello ukowapi ndo nimefika na mademu wangapi
Hello ninani leo tumekuja kukiwasha nanani

Sho Madjozi peace kali amedamshi
Tunafujo tumejaa kwenye gari
Tunakula bata wala hatujali
Aafu hawaamini nnavyo chapa konyagi

Sho Madjozi ni samaki kwa maji
Sho Madjozi ni jogoo halali
Sho Madjozi ni ndege anafly
Wao wanasema wata nishusha sidhani

Sawubona man kunjani (Aibo aii kidogo)
Sawubona man kunjani
Hallooo (Aibo aii kidogo)

Sehifikile la yimi lange
Mina anikhomi mina nila tisenter
Nilaba Nike nilaba Benz
Nilaba ku spender mali tati rente

Sehifikile la yimi lange
Mina anikhomi mina nila tisenter
Nilaba Nike nilaba Benz
Nilaba ku spender mali tati rente

Chezesha midomo chezesha midomo
Chezesha macho chezesha macho
Chezesha midomo chezesha midomo
Chezesha macho chezesha macho

Aaahhh sawubona man kujani (Aibo aii kidogo)
Sawubona man kunjani (Aibo aii kidogo)

Aaah shooo

Canzoni più popolari di Nandy

Altri artisti di Afrobeats