Kongoro

Umepoteza usikivuu haunisikizi tenaa
Nani kakuaribu mbona gafla kulizanaa
Wanuna bila sababu waniona me mtwanaa
Ukiwa nami wajifanya bubu kutesanaa

Mapenzi hayana ubia soko uria
Kuamisha muamala
Mbwembwe zimeniishia mkufu bandia
Mazao yameungua
My baby, hayana ubia soko uria
Kuamisha muamala
Mbwembwe zimeniishia mkufu bandia
Mmazao yameungua

Heri imogizani (nitabaki kongoro)
Sioni sababu (mwili wabaki kongoro)
Inayofanya uniumizee (nitabaki kongoro)
Unanipa tabuu (mwili wabaki kongoro)
Kisa upendo unilizee (nitabaki kongoro)
Sioni sababuu (mwili wabaki kongoro)
Inayofanya uniumizee (nitabaki kongoro)
Unanipa tabuu (mwili wabaki kongoro)
Kisa upendo uniuliziee
Eeeheeh, looohoh, eeeh...

Upendo wa dhati unaning'inia
Afueni sipati ninaishilia
Weka hisabati na kukotoa
Ila jibu sipati nandomepotea
Japo nafsi inapinga ngumu yako kaulii
Sikubali kushindwa ndani nyingi dosari
Kila siku kunipa kuniona fedhuli mimi
Fedhuli mimi, mapenzi

Mapenzi hayana ubia soko uria
Kuamisha muamala
Mbwembwe zimeniishia mkufu bandia
Mazao yameungua
My baby, hayana ubia soko uria
Kuamisha muamala
Mbwembwe zimeniishia mkufu bandia
Mmazao yameungua

Heri imogizani (nitabaki kongoro)
Sioni sababu (mwili wabaki kongoro)
Inayofanya uniumizee (nitabaki kongoro)
Unanipa tabuu (mwili wabaki kongoro)
Kisa upendo unilizee (nitabaki kongoro)
Sioni sababuu (mwili wabaki kongoro)
Inayofanya uniumizee (nitabaki kongoro)
Unanipa tabuu (mwili wabaki kongoro)
Kisa upendo uniuliziee
Eeeheeh, noooo, eeeh...

Canzoni più popolari di Nandy

Altri artisti di Afrobeats