Tony Oriema For President

Luke Ochieng

Nikama guns ziko churchil live,hao ma pigs trigger happy bro ama ni vice,?
Ama ni gova inadai watu angushe on sight,
Ku control population hao wanone na crime,
Wapi kamusi translation ya irony,
We ni karao unamurder mtoi kwa balcony,
Kwani risasi ndio tiba na kinga ya rona G,
Sina energy si bishani na nyinyi chief,
Siezi jaribu najua mtaniangusha kama,
futi sita au mnichimbie saba,
Reporti mdanganye muandike mlipata shada,
Kotini mhongane msiabishe chief commander,
Fuck it i tell my nigaz it aint worth it,
The system is broken, the leaders are puppets,
Then again i stop and think about my country,
And if i really love it whose gon fight for some justice

Manze juzi walidandia boyz
Juu ya curfew, hata haikuwa time
Manze juzi walidandia boyz
Patiwa mabeating wakaachwa wadie

Kimathi Ouko Yassin Pendo
Taja jina zao kama wee ni mzalendo
Watu Twitter wanataja jina zao juu ya views
Wanauliwa but bado BBI iko kwa news
Irony kwa Kiswahili ni kinaya
Wasanii hawana topic kaa si bhangi na umalaya
Dini ni bidhaa, kanisa imegeuzwa soko
Ngoma local haiwezi hit kama vidaa haina poko
Kijana Kijana umetoka wapi saa hii?
Unazunguka zunguka kwani wee mmaasai?
Pole afande nimetoka kupiga show
Najua ni mdosi wako amekutuma in short
Ata nikikuhonga hio pesa sio wee unakula
Kijana piga magoti, siku yako imekuja
Ukiniweka ndani, mafans watavamia stenje
Ukinishoot, ngoma zangu zitahit kwa tenje

Manze juzi walidandia boyz
Juu ya curfew, hata haikuwa time
Manze juzi walidandia boyz
Patiwa mabeating wakaachwa wadie

Curiosità sulla canzone Tony Oriema For President di Luka

Chi ha composto la canzone “Tony Oriema For President” di di Luka?
La canzone “Tony Oriema For President” di di Luka è stata composta da Luke Ochieng.

Canzoni più popolari di Luka

Altri artisti di Pop