WORTH iT

William Said

Is it worth it
Is it
Nawaza, hata silali sa inakueje nakua na ndoto kama zote hizi
Yeah i talk, "nigga talk we aint seeing you ukifanya lolote vipi?"
Nilipotoka mboga moja, unanichanganya hasa ukinletea options nyingi
Nikichagua hope its worth it
Yeah
Pisha njia, simsomiliam anaingia
Boy super lit na sitoki moshi that nu clear
Fusion ya mbele na bongo nimetoka mpwapwa
A star all these rappers kwangu simu za vitochi
way im taking all these shots, sodo nalipiga dochi
Au chanjo covid mimi kama kiongozi
Au paparazzi wao wanaleta pozi
Au ka jambazi Hamza pale ubalozi
When i drop leave a mark ka kimondo pale Mbozi
Wanna have some effect gotta leave by the cause, make peace with the past man it was what it was
When things moving fast think it's wisest to pause
And reflect on the steps, on the wins on the losses
chasing people who consider you dead, you should be ghosting
Humble yourself, walk all your talks fuck all the boasting
Ultimately usisahau kuwa every action costs
Is it worth it, is it
nawaza, hata silali sa inakueje nakua na ndoto kama zote hizi
Yeah i talk, "nigga talk we aint seeing you ukifanya lolote
Vipi?"
Nlipotoka mboga moja, unanichanganya hasa ukinletea options nyingi
Nkichagua hope its worth it
I hope it's worth it

Curiosità sulla canzone WORTH iT di Liam

Chi ha composto la canzone “WORTH iT” di di Liam?
La canzone “WORTH iT” di di Liam è stata composta da William Said.

Canzoni più popolari di Liam

Altri artisti di Dance pop