M’barik Fall

Khadja Nin, Nicolas Fiszman

[Verse 1]
Kama haumujuwe
Kama hujamuona
Ni yeye M'barik Fall
Amekwenda peke yake
Mutoto akafika ulaya
Njo yeye M'barik fall

[Pre-Chorus]
Ni sekele, ni sekele ya ye
Ni sekele, ni sekele ya ye

[Chorus]
Ukapigana ukawina
Baba yo moko bwana M'barik Fall (Battling Siki)
Ukapigana ukawina
Baba yo moko bwana M'barik Fall (Battling Siki)

[Verse 2]
Wakaku ita ugombane
Ukamupiga muzungu (M'barik Fall)
[?]
Ahiyama ahiyele maye o
Ni sekele ni sekele ya ye

Wakaku itu ugomba... Wakaku itu ugomba...
Wakaku ita ugombane
Wakaku ita ugombane
Ukamupiga muzungu (M'barik Fall)
[?]
Ahiyama ahiyele maye o
Ni sekele ni sekele ya ye

[Chorus]
Ukapigana ukawina
Baba yo moko bwana M'barik Fall (Battling Siki)
Ukapigana ukawina
Baba yo moko bwana M'barik Fall (Battling Siki)
Ukapigana ukawina
Baba yo moko bwana M'barik Fall (Battling Siki)

Canzoni più popolari di Khadja Nin

Altri artisti di Pop rock