Kembo

Dominic Miller, Khadja Nin, Paul Rein

Unaniaca unaenda tena
Nabaki apa mimi peke yangu
Watoto, watoto wanaliya
Usiende...
Kembo, kembo, kembo...
Watoto wanaliya...wewe
"napashwa"
Wandugu wanaliya...
Ni wewe
"napashwa"
Ata mama yako analiya
"napashwa"
Mimi bibi yako naliya
Usiende na sorrow
Nitangoja...kembo
"usiende na sorrow
Tutangoja"
Usiende na sorrow
Tutangoja...kembo
Watoto wanaliya...hood !!!
"unapashwa"
Wandugu wanaliya...hood !!!
"unapashwa"
Ata mama yako analiya
"unapashwa"
Mimi bibi yako naliya
Usiende na sorrow
Nitangoja...
Kembo... kembo...kembo...

Canzoni più popolari di Khadja Nin

Altri artisti di Pop rock