Never Give Up

Harmonize

Oh nooh
Lord have mercy
Yeh yeh eh
Konde boy

Let me tell u ma story
Nimezaliwa mtwara Tanzania
Huko kijijini chitoholi
Hapa mujini nimezamia
Ndoto zilikuwa kucheza boli
Mara ghafla kwa mziki zikahamia
My dady im sorry swala tano Hukupenda uliposikia

Kama utani Si nikaanza kuimba
Mungu si athuman nikakutana na simba
Akanipiga kampani japo kuna walionipinga kwamba sina kipaji
Fitina za ndani ndani mara harmo anavimba
Atapendwa na nani mmakonde wa tandahimba
Nikajipa imani ipo siku nitashinda
Mana mola ndo mpaji
Eeeeeh

Now i make my paper (My paper)
And i bless my family
Pole walionicheka (nicheka)
Enzi navaaga kandambili
Soooo

Never never never
Never never never (give up)
Never never never
Usikate tamaa maana mungu anakuona
Never never never
Never never never (give up)
Never never never
Nsikate tamaa angaika kila kona

I remember, mama told me
“ma boy binadamu hawana wema
Watakuchekeaga usoni
Ukiwapa kisogo wanakusema
Usihifadhi chuki moyoni
Yalipe mabaya kwa mema
Jifanye Hukumbuki huyaoni
Ndo maandiko yanavyosema"

Nilimtanguliza Mungu kwa swala
Mara ghafla akaja mzungu Sarah
Aah
Thank u my baby
You love me, you support me,i love u too
Shoutout to my nigga jose wa mipango
Jabulant chopa i got love for you
Mnyama mkali buda na mchachambo
Mwambie tunapita so mikono juu
Najua maisha safari mi bado cjafikaga long way to go
Ila naiona afadhali kulala uhakika na kula Sio kama before
Debe kwa azizi ally, mbagala, tandika, kimara na kariakoo
Geto na kibatari, kiangazi, masikaaa, jua, Mvua vyote vyakooo

Now i make my paper (My paper)
And i bless my family
Pole walionicheka (nicheka)
Enzi navaaga kandambili
Sooo

Never never never
Never never never (give up)
Never never never
Usikate tamaa maana mungu anakuona
Never never never
Never never never (give up)
Never never never
Usikate tamaa hangaika kila kona

Curiosità sulla canzone Never Give Up di Harmonize

Quando è stata rilasciata la canzone “Never Give Up” di Harmonize?
La canzone Never Give Up è stata rilasciata nel 2020, nell’album “Afro East”.

Canzoni più popolari di Harmonize

Altri artisti di Afrobeats