Tumeshinda (feat. Godwill Babette)

Eunice Njeri

Jeshi Ia Bwana amka
Tuvae silaha twende
Tuimbe tushangilie
Maana yote yawezekana
Jeshi Ia Bwana amka
Tuvae silaha twende
Tuimbe tushangilie
Maana yote yawezekana ooh
Hakuna asiloweza


Tumeshinda Kwa jina Ia Yesu
Tumesimama kazi ya msalaba
Tumeshinda Kwa jina Ia Yesu
Tumesimama kazi ya msalaba


Let the army of God arise
With the armor of God arise
Sing and shout to the king of kings
All things are possible
And nothing is impossible


Tumeshinda Kwa jina Ia Yesu
Tumesimama kazi ya msalaba
Tumeshinda Kwa jina Ia Yesu
Tumesimama kazi ya msalaba


Tumezungukwa na Majeshi ya Mbinguni
Tumezingirwa na uwepo wako Mungu
Tumezungukwa na Majeshi wa Mbinguni
Tumezingirwa na uwepo wako Mungu


Come on lift your hands to Jesus


Ah, ah, ah
I say tume tume tume tume


Tumeshinda Kwa jina Ia Yesu
Tumesimama kazi ya msalaba
Tumeshinda Kwa jina Ia Yesu
Tumesimama kazi ya msalaba


Tumeshinda sisi eeeh


Tumeshinda yay yay (ona ona)
Tumesimama kazi ya msalaba
Tumeshinda Kwa jina Ia Yesu

Altri artisti di Gospel