Muda Wangu

Godwin peter lerowi

Wangu wangu

Huu ndo muda wangu

Minasonga mbele viatu vyangu hauvai

Mungu Pesa Muda

Mu-Mu-Mungu Pesa Muda

Mu-Mu-Mungu Pesa Muda

Am trying to get paid in this shit sijui chochote kuhusu subira

Mi ni Mungu Pesa Muda

Mu-Mu-Mungu Pesa Muda

Mu-Mu-Mungu Pesa Muda

Am trying to get paid in this shit sijui chochote kuhusu subira

VERSE 1.

Niangushe kwenye shimo la nyoka nitatoka mwamba

Nitupe baharini ama mtoni nitatoka mamba

I was on my back nani angedhani tutakuja tamba

Njia yenyewe ilikuwa yembamba Ilibidi nitafute namna,

Yaku-penetrate

Huku pumbu chini hawakutuani there was no debate

Mimi na washakaji flani ka mimi they can all relate

Niko na sambi ila sioni goli, once you score

everybody wants to be a part of your story

Ilinibidi ni-dedicate hizi ndoto zote zigeuke hustle,

Nipindue meza wageuze macho,

Nifanye once nifanye double

Nifanye thrice nifanye nice, kivyovyote nishiishiage hapo

Cause everybody repeats I'd rather just go and shuffle

Nikafanya pimia, kati nikaungua, wakati naangia

Walishaga nambia fanya tulia wakarudia

Ili mambo yatiki yakae sawia, wakanihusia

The game is a b**** sema usichanganye kazi na hisia

Ukiongea sana wanahisi gumbu

Ukikaa kimya wanahisi bubu

Nahisi mi tumboni nawadudu

Sema hustle mtaani zimetufanya tumekuwa sugu

Trust me when i talk to God that's the only time natubu

CHORUS.

Wangu wangu

Huu ndo muda wangu

Minasonga mbele viatu vyangu hauvai

Wangu wangu

Huu ndo muda wangu

Minasonga mbele viatu vyangu hauvai

Mungu Pesa Muda

Mu-Mu-Mungu Pesa Muda

Mu-Mu-Mungu Pesa Muda

Am trying to get paid in this shit sijui chochote kuhusu subira

Mi ni Mungu Pesa Muda

Mu-Mu-Mungu Pesa Muda

Mu-Mu-Mungu Pesa Muda

Am trying to get paid in this shit sijui chochote kuhusu subira

VERSE 2.

Niko busy natafuta picha za raisi waliokufa, ndo

maana maskani sikukaaga sana nilitembea

That's why i put this on the track if this the last

time that i rap atleast my pops gets to hear sio

mara nyingi huwa tunaongea

Na nisipokuwepo play this replay this

Even if they cloned a nigga they couldn't replace me

Cause najua vingi but still naongea vichache

Since a youngin' i been a leader waambieni wanao wanifate

But still nasogea nani anaongea tushazoea

Ukianza elekea wanatokea as if they care

Ukikosea we jifunze usijute yah am aware

Toka kitambo nilijua tofauti ya ukweli na umbea

Ukiongea sana wanahisi gubu ukikaa kimya wanahisi bubu

Nahisi mi tumboni nawadudu

Sema hustle mtaani zimetufanya tumekuwa sugu

Trust me when i talk to God that's the only time natubu.

CHORUS.

Wangu wangu

Huu ndo muda wangu

Minasonga mbele viatu vyangu hauvai

Wangu wangu

Huu ndo muda wangu

Minasonga mbele viatu vyangu hauvai

Mungu Pesa Muda

Mu-Mu-Mungu Pesa Muda

Mu-Mu-Mungu Pesa Muda

Am trying to get paid in this shit sijui chochote kuhusu subira

Mi ni Mungu Pesa Muda

Mu-Mu-Mungu Pesa Muda

Mu-Mu-Mungu Pesa Muda

Am trying to get paid in this shit sijui chochote kuhusu subira.

Curiosità sulla canzone Muda Wangu di Dwin

Chi ha composto la canzone “Muda Wangu” di di Dwin?
La canzone “Muda Wangu” di di Dwin è stata composta da Godwin peter lerowi.

Canzoni più popolari di Dwin

Altri artisti di Electronic dance music (EDM)