TABASAMU LANGU
Intro [Instrumentals ]
Chorus]
||: Moyoni mwangu, nina amani
Ninayopata kwako
Mpenzi wangu, usiende mbali
You tabasamu langu. :||
[Verse:]
||: Mpenzi mwandani mahabubu
Naanza kwa kuomba msamaha
Nilijaribu na sikuweza
Kuyasarifu maneno matamu :||
||: Kuna makosa yalifanyika
Ukaondoka kwangu vigafla
Sikuamini kwamba waenda
Mpenzi we :||
[Chorus:]
||: Moyoni mwangu, nina amani
Ninayopata kwako
Mpenzi wangu, usiende mbali
You tabasamu langu. :||
[Verse 2:]
Kwako nimeonja asali
Na sitaki tena sukari
Wewe ndiwe mpenzi wangu
Eeeeeeeeeee
[Instrumentals]
Kwa mwengine sitokwenda
Mola wewe kanitunuku
Itakuaje wewe karibu
Mpenzi ....
[Chorus:]
||: Moyoni mwangu, nina amani
Ninayopata kwako
Mpenzi wangu, usiende mbali
You tabasamu langu. :||