KUPE

Blame It On Don

Intro
CHORUS
||: Walahi hakai tapeli hodari :||
||: Mdomoni ni tende, kumbe ni kupe :||

VERSE 1
Huko mjini kuna mambo, unavyoona kumbe sivyo
Wenye suti majambazi, na magari ya kifahari
Kwa hivyo jichunge mwenzangu, waeza poteza mengi
Kwa hivyo jichunge mwenzangu, waeza poteza vyote

CHORUS
||: Walahi hakai tapeli hodari :||
||: Mdomoni ni tende, kumbe ni kupe :||

VERSE 2
Leta pesa tutaifanya double, triple hata mara kumi unavyotaka, utapata;
Na kumbe kile wanachokita sana ni kukubwaga;
Hao x3 – ni wezi kupindukia;
I know x 3 – ni ngumu kuwatambua
Akija na story, jipange pange; Akija na vako, mrushe rushe

CHORUS
||: Walahi hakai tapeli hodari :||
||: Mdomoni ni tende, kumbe ni kupe :||

VERSE 3
T’t’take care, mjini huwaga na wahuni;
Utadhani muhubiri wa neno la Mungu, kumbe ni broker na kahaba
“Bibilia inasema (kunja mdomo hivi x2) halafu nitawaambia wapande mbegu”
Acha ukora yeye yeye yeyee, Hahahahahahahaha shame on you!

CHORUS
||: Walahi hakai tapeli hodari :||
||: Mdomoni ni tende, kumbe ni kupe :||

Curiosità sulla canzone KUPE di DON SANTO

Quando è stata rilasciata la canzone “KUPE” di DON SANTO?
La canzone KUPE è stata rilasciata nel 2022, nell’album “DEFINITION OF THE BADMAN KILLA 1”.
Chi ha composto la canzone “KUPE” di di DON SANTO?
La canzone “KUPE” di di DON SANTO è stata composta da Blame It On Don.

Canzoni più popolari di DON SANTO

Altri artisti di