Athman Wangara Khamis
I dedicate this Kalpop song to my friend, a mentor, and my maternal uncle, #AthmanWangaraKhamis. May the good Lord grant you all the desires of your heart forever and ever amen
_____________________________________________
Papa Santo; the one and only
Papa Santo;
The Badman Killa mia mia!
STANZA ONE (0:14)
Omwami OCB;
Sioni mfano wako kamwe;
We ndio busy bee;
Hukosi kwa kila boma;
Msaada unawapa...
Athman Wangara;
Kipenzi cha watu wote bane;
Huna maringo;
Hukosi kwa kila jiji;
Upendo unawapa...
And (Around you x7) is always fun (fun) (haha);
CHORUS (0:53)
Show them how to be free!
Waone utu wema
Teach us how to be free!
Tuwe mfano mwema
STANZA TWO (1:13)
Kuna ushuhuda tosha kwa maendeleo
Tajriba una sifa toka jana hadi leo
Omwana wa Hamisi Boyi you got my attention
Sholi nende ubaguzi you got affection
How are you?
How is home?
Huchoki kuyauliza
Chair Matungu constituency;
Mwandishi wa “Bwana Ugali.”
And (Around you x7) is always fun (fun) (haha);
CHORUS (1:50)
Show them how to be free!
Waone utu wema
Teach us how to be free!
Tuwe mfano mwema
STANZA THREE (2:10)
||||: There ain’t many kind :||||
Klassik Nation twende lote
DUNDA NA KALPOP!
Osibisa, twende lo~te
DUNDA NA KALPOP!
Oh mama, twende lo~te
DUNDA NA KALPOP!
Kingpheezle, twende lo~te
DUNDA NA KALPOP!
Nairobi city...
DUNDA NA KALPOP!
Kule Matungu, Kakamega, Aaah salamu kwenu
DUNDA NA KALPOP!
CHORUS (0:53)
Show them how to be free!
Waone utu wema
Teach us how to be free!
Tuwe mfano mwema
OUTRO
The Wangaras, twende lote!
DUNDA NA KALPOP!
OH ye thou Klassikans, twende lo~te!
DUNDA NA KALPOP!
Sha! Rhhhh
Ahaaa kabisa
DON SANTO natuma salamu kwake Athman Wangara Khamis
Mheshimwa aliye tosha, mheshimiwa mtarajiwa!