Ukimuona

Mungu aliumba dunia mapenzi tangu na tangu
Yashanipiga sasa sinabudi nielewe
Siwezi kung'ang'ania huenda sio fungu langu
Japo nishida ila, nitabaki mwenyewe

Ohh ila , mpe shukrani kwa kuniumiza suraya
Mwambie mi bado mahututi nauguza kidonda changu
Na asisikie kisirani, hukumu ya mapenzi mabaya
Hata ungali hai kayruki usingetibu gonjwa langu

Kutwa nzima moyo unanidunda dunda (dunda)
Sina amani nasaga rumba (rumba)
Ohh unani dunda dunda
Sema chine tembee moyoo

Unanidunda dunda (mamii moyooo)
Sina amani nasaka rumba (oohh mimii)
Oh unani dunda dunda
Eeh ukimwona

Ukimwona ukimwona
Ukimwona ukimwona
Ukimwona

We nenda mwambie marafiki, marafiki wabaya
Tena wengi waongo, hawawazi ndanganye
Oya ni mashoga rafiki, oohh marafiki wabaya
Oh mmh

Tatizo mi bado, nilipoteleza nkakosa sipajui
Mpaka akafunga virago, na akaamua kuondoka sitambui
Ubaya, kinacho niumiza, maneno neno maneno
Mara kwa ndugu rafiki, kwanini anawapa misemo
Najaribu papasa, mbona ka macho ataona chochote
iIa ndo kutwa mikasa, na nazidi kuanguka, niokote

Kutwa nzima moyo unanidunda dunda (dunda)
Sana amani nasaga rumba (rumba)
Ohh unani dunda dunda
Sema chine tembee moyoo

Unanidunda dunda (mamii moyoo)
Sina amani nasaga rumba (ooohh mimii)
Ohh unani dunda dunda
Eehh ukimwona
Ukimwona ukimwona
Ukimwona ukimwona

Canzoni più popolari di Diamond Platnumz

Altri artisti di Electro pop