Niombee

Japo naondoka na haimaanishi sirudi mi naenda kupambana Kuna mda nakosa Wala sio kusudi ila punguza lawamaa mvua yangu jua languuu Ila sikati tamaaa niombee ndua kipenzi changu atabariki Maulana Basi kazana Sana kuniombea nizichunge hizi tamaa na si unaua kupambania nikipata nyingi lawama najua mengi usijate tamaa mwenzako bado napambana hata kidogo ukileta wewe shukuru ndo katupa maulanaa.
Ila huku sasa ukipata kidogo wanakita nze.! harafu ukikipata wanatumia wanakuacha
Ila huku Sasa mie mwenzako ndo nazisaka ili nikizipata uhame huku tuishi tabata Ooohhh iooooh. niombee
UNIOMBEE usichoke wewe UNIOMBEE oohh mababy usichokeee unimbeee UNIOMBEE UNIOMBEE huenda huu ndo mwaka wangu
[06:42, 1/18/2024] Danger Boy Tz: nononoonoono nonoonono nononoonoono nonooo..! najua unatamani kuwa Kama walee upendeze Kama yuleee na weekend baby usil
Ale nyama choma leo ule na zile pilika pilika kidogo nachopata nikikosa Leo Basi kesho mi nitaleta Wala usije huzunika siku zinabadilika nikikosa leo kesho amini nitaganikisha
Ila huku Sasa mie mwenzako ndo nazisaka ili nikizipata uhame huku tuishi tabata Ooohhh iooooh. niombee
UNIOMBEE usichoke wewe UNIOMBEE oohh mababy usichokeee unimbeee UNIOMBEE UNIOMBEE huenda huu ndo mwaka wangu oohhhooo

Canzoni più popolari di Danger

Altri artisti di